Wakulu Hodi Ukumbini

Wakulu Hodi Ukumbini

tandala

Member
Joined
Feb 5, 2008
Posts
33
Reaction score
2
Wana jumuiya wa JF naomba kujitambulisha ukumbini.
Natarajia kujifunza mengi kutoka kwenu wanajumuia nami kuwajuza yale niliyokuwa nayo,Tupo pamoja shukurani.
 
Wana jumuiya wa JF naomba kujitambulisha ukumbini.
Natarajia kujifunza mengi kutoka kwenu wanajumuia nami kuwajuza yale niliyokuwa nayo,Tupo pamoja shukurani.

Karibu sana kilingeni ndugu..where we dare to talk openly..so talk openly as well anything your mind tells you but within JF Rules!

Cheers!
 
wana jumuiya wa jf naomba kujitambulisha ukumbini.
Natarajia kujifunza mengi kutoka kwenu wanajumuia nami kuwajuza yale niliyokuwa nayo,tupo pamoja shukurani.

karibu saaaaaana
 
Back
Top Bottom