Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yake hakuna anayejua hii kitu au? PoaMipapai yangu inazaa lakini vipapai vinadondoka vikiwa vichanga naomba kujua kama ni ugonjwa au ni ukosefu wa madini gani?
View attachment 2871251
Mmea una stess, mara nyingi chanzo kinaweza kuwa joto Kali, mmea ukikosa maji au maji mengi kupita kiasi.Mipapai yangu inazaa lakini vipapai vinadondoka vikiwa vichanga naomba kujua kama ni ugonjwa au ni ukosefu wa madini gani?
View attachment 2871251
Tatizo ni ushuri tutapata wapi mkuu?Maana yake hakuna anayejua hii kitu au? Poa