Wakulungwa naomba ushuri mipapai inadondosha vidakwa

jingoloji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2017
Posts
449
Reaction score
544
Mipapai yangu inazaa lakini vipapai vinadondoka vikiwa vichanga naomba kujua kama ni ugonjwa au ni ukosefu wa madini gani?

 
Iyo ni stress Mkuu uwenda iyo sehem uliyo panda maji Yana twama sana pia ukizingatia saivi ni kipindi Cha mvua ivyo mizizi inakosa hewa ya Oxygen kutokana na maji kuwa mengi kwenye udongo ivyo inapelekea stress ivyo kupunguza stress maua au matunda machanga huanguka

Ushauri jitaidi kutengeneza mifereji ya kutoa maji njee ya shamba lako ili kuondoka stress kwenye mimea Yako
 
Zingatia sana mbolea yenye potassium (K) kwa wakati huu.

Waliosema stress wako sahihi, sometimes kama matunda yalizaliwa mengi sana ni lazima itokee abortion ya baadhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…