Wameiba Kura
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 390
- 3
Ooh pole, mi mwenyewe na hitaji anaenizi umri ndo na feel secure.., nikishuka chini ntaonekana suga mami mwee.Guys kumbe sikuhizi na sisi wanaume tumeendelea kweli sisi ndio wa kwanza kuuliza kama kuna kupima duu sio mchezo yaani..Kitumbua kinaliwa tu kama mambo yanalipa sio mpaka kuuliza...ila hapo na mashaka..Mimi nipo out hapo umri hauniruhusu ila kama ungeshusha kama miaka 3 ingekuwa powa kabisa, nadhani ningefit hiyo sehemu kwa kila kitu!!
Aaahh Mamushka bana, ww unaongelea external things tu, vitu vya utu uzima hujagusia bana, sasa mtu mzima hata umpe kila kitu, hujasema
ukiwa uchi utampa nini? ulivyo vitaja vyote ni kwa watoto ujagusa core part, ON BED bana, vp unakwenda pwani? Tupo tayari bana, ila for a dy only i am occupied na my lover, ila just for a day, blow jobs etc hivi ndio vitu vya kusema bana, kuogelea, chakula, vinywaji, sijui selous hivi ni nadharia tu, ON BED vyote vipo in one, ila mm mrefu saana
Ntatuma, hapana hakuna alie nipagawisha na penda engineer tu yeyote, kwakua ni rahisi hata kama hana likizo atweza tunga safari ya site, then tutaenda.Mbona hujanitumia hiyo picha sasa nifanye assessment wakati huu nataka kulala???? By the way, why specifically engineer? Kuna engineeer amekupagawisha nini??
Ooh pole, mi mwenyewe na hitaji anaenizi umri ndo na feel secure.., nikishuka chini ntaonekana suga mami mwee.
...kumbe ni wewe uliyefanya hizi bookings?
Anyway,...i reserve further comments.
Enjoy the festive season.
Wapendwa wana Jf, kama tunavyoona mwaka ndo huo unamalizikia, mimi Mamushka ninatafuta mtu wa kumaliza nae mwaka. Sifa. Awe mwanaume mrefu, mweusi kiasi, aliejazia kakomaa mwili kidogo ila sio usoni iwe kwa mazoezi au ndo alivyozaliwa haijalishi. Kazi yake sio muhimu sana kwangu japo engineer ntampa kipau mbele, asiwe mlevi ila awe anakunywa kwa raha zake na si kupunguza mawazo, anaejua ku enjoy, kuogelea. Cost yote ya safari ni juu yangu . ITINERARY itakua kama ifuatavyo five dayz on safari, by Charter plane from DIA terminal one to Krigler airstrip Selou game reserve. Kupokelewa na Serena tranport to Mivumo Lodge, tutakaa two nights full board, King size bed, Game drive, Massage from a beatuful masseuse , Sundown with glass of cocktail,Bush dinner na pia tukishudia Lion in honeymoon. Then tutarudi DIA to Znz hapo tutaunganisha kwenda Nungwi Zanzibar for three nights full board, fishing, diving, swimming bila kusahau ku enjoy chakula kizuri na fresh from our beautiful country, kwakeli tutakua busy sana na ku enjoy .CONDITIONS. Lazima mtu huyo akubali mwaka mpya utukutie kanisani tukisali kokote tutakapo kua. Then tutarudi na kila mtu ataaendelea na mwaka wake mpya na mambo yake mengine kama kawaida. Ambaye yuko interested awasiliane na mimi. Kwa wengine wote I wish you Merry x-mas and Happy new year guyz. Nawapenda wote nawapenda sana wana Jf.

Mbona hujanitumia hiyo picha sasa nifanye assessment wakati huu nataka kulala???? By the way, why specifically engineer? Kuna engineeer amekupagawisha nini??
Swali zuri sana mtu wangu, kwa kawaida msamaha hua tunatakiwa kumuomba mungu kabla hatuja vuka mwaka, then siku hiyo ni shukurani kwa kuvuka na kuanza mwaka mwingine kwa baraka.Hapo red..... vipi?
Ni kwa kuomba msamaha kwa dhambi au kutoa shukurani kwa Mungu au mengine.................msaada tafadhali.