Tulishasema mwaka jana mwezi wa kwanza kwamba misimamo mikali itaingia kama demokrasia ikipuuzwa na yameanza kutimia. Kuna watanzania vijana wengi nje na ndani ya vyama hawapendwezi na mwenendo wa sasa wa upatikanaji wa viongozi kwa njia ya wizi wa kura, polisi na usalama wa taifa na wako tajari kurudisha nchi yao kwa wananchi
www.jamiiforums.com
Mambo manne makubwa ambayo yataweka mwelekeo wa kisiasa Tanzania
Kuna Mambo manne muhimu kwa miezi ya karibuni ambayo yataleta mwelekeo wa taifa letu kisiasa katika mambo haya manne matatu ni ya Chadema na mmoja ni la CCM. Chedema inatakiwa kufanya maamuzi magumu kwenye haya mambo matatu 1. Bila katiba na tume huru ya uchaguzi wajitoe kabisa kwenye chaguzi...