FORCE NAMBA
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 937
- 327
Wadau wa sheria msaada tafadhari.kuna huu utaratibu wa wakurugenzi kulipia gharama za masomo kwa watumishi walio makazini.Gharama za malipo zinatofautiana tofautiana kutoka Halmashauri Moja hadi nyingine.Kwa mfano watumishi wanaosoma ngazi ya digrii kila halmashaur inachangia ki vyake wapo wanaopewa 200000, 300000. Sasa sheria inasemaje kuhusu hili?