REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Kuondoa utata clouds wambieni walimu kutoka mikoa tofauti tofauti wapige sm wawambieni lini na wapi walimu walipewa mafunzo ya hii mitaala mipya, zaidi nao wanasikia na kuona kama wazazi.
Pili halmashauri gani imepokea vitabu vya kujifunza na kujifunzia vya hiyo mtaala mpya.
Waache siasa kwenye vitu vya msingi hayo mambo wanapanga uko maofisini na kuwashushia walimu watekeleze wamegeuza walimu malaika kuwa watafanya tu.