Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Nazungumzia market share kama kuna vituo mia vya mafuta Puma wanamiliki kama 14, as far as ownership yao Tanzania sijui hila wao wenyewe wanajitangaza kama private ltd company kwa mujibu wa information zao na kuna two main shareholders.Serikali ina hisa % ngapi huko puma?
Regulatory nyingi Tanzania ni kama mahakimu mahakamani. Tuna taasisi nyingi ambazo operation cost zao hutegemea wadau wanaowasimamia na siyo oc toka serikalini.Walivyoingia ktk biashara hii hawakujua kwamba kuna regulator ambaye ni Chombo cha serikali ??
Hawakukubaliana na bei ilekezi kufuatia mzigo ulinunuliwa kwa bei gani ??
dah! MUNGU ni mwema, bado kidogo tutaifikia china, ukibugi serikali inakunyongaPolisi jijini Dsm imewakamata wakurugenzi wakuu wa kampuni za mafuta za Puma, Total na Oryx waliokuwa kwenye kikao cha kibiashara.
Kadhalika polisi wanamsaka mkurugenzi mkuu wa Lake Oil ili aunganishwe na wenzake.
Imeelezwa wakurugenzi hao wanadaiwa kuvuruga mfumo wa usambazaji mafuta nchini.
Chanzo: ITV habari!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu wanamjua jiwe hataniwi. Wewe hukuona ile habari ya kufungua petrol station ya serikali. I think it was in Dodoma. So kiama chao kinakaribia. Ila mkuu wewe fikiria mtu kutoka full tank ya 125k to 75k then wajinga wachache wanataka kuturudisha Misri wakati wenzao tushaanza kuenjoy maisha ya Kanani
CCM wanasaka pesa za kampeniIt
Watanyabiashara Wanapata shida Sana kipindi Hiki... Waache waisome namba.
Mbona hata wakurugenziccm wote wana majumba nitajie mkurugenzi wa SU shirika la umma asiye na majumba? Viongozi wa CCM wote wana majumba hata Naibu Rais ndugu Daud Bashite ana majumba upanga masaki mwanza Dubai South Africa viongozi wote wa CCM wana majumba kila kona TanzaniaNdio maana wakurugenzi wa makampuni hayo wamejenga majengo ya kufa mtu kama kule mbezi Kimara.
Wafanyabiashara walinunua mafuta kwa bei kubwa hawakuyauza yote baada ya corona kupita hawajarejesha pesa zao faida na kodi wamelipa zote, ghafra mkashusha Bei kwa mafuta ya zamani ambayo alinunua Bei kubwa na kodi mlichukua huoni kama ni kuwaonea wafanyabiashara? Bei elekezi ijikite kwenye mafuta ya rahisi yakiyokuja na meli mpya siyo kushusha bei kwa mafuta ya zamani kisha kumpeleka mfanyabiashara jela kumpa kesi ya uhujumu uchumi, huo ni uonevu mkubwa sana na kama CCM wanataka pesa za kampeni ni kwa nini wasiwaombe msaada kwa wema kuliko kutumia mbinu hiyo haramu.Ewura waje na bei ya sh. 800 ili wafiche vizuri hayo mafuta, wamezoea kutunyonya na mabei yao huku wakitengeneza faida kubwa (windfall profit). Kuna wengine kila kukicha wanafungua vituo vipya, which means wanapata faida ya kufuru...
CCM wanasaka pesa za kampeni
Watawatishia kesi za uhujumu uchumi kwa kuogopa kukaa jela kama Rugamalila watalipa faini mabilioni bila kosa watapata pesa za kampeniSi wameshapata mkopo kutoka ufaransa... Watumie hizo kuliko kuumiza watanyabiashara ambao ni wapiga kura na wafadhiri wa chama pendwa...
Ndugu umewahi kufanya biashara yoyote japo ya Genge la nyanya? naona unaongea vitu vya kufikirika unasema serikali iuze mafuta!! Serikali ipi unazungumzia hii iliyovuruga soko la korosho na sukari au?serikali inapaswa kuchukua biashara ya mafuta ijenge vituo vyake kila mkoa itapiga mabilioni yanayokwenda nje kila siku biashara hii itawezekana kwa kuwa Mkulu hataniwi ni pesa chap chap na inalipa sana then tupungize kodi na ushuru kwenye maduka ya walalahoi!manake biashara nyingi za wapiga kura wa Mkulu zimeangushwa na kodi kubwa
hiki ni chanzo kipya cha mapato makubwa ya serikali wakichangamkie haraka tupate pesa ya kujenga SGR na kuwakomesha mabeberu, hili wazo lapaswa kutua mezani kwa Mkulu haraka! na amteu mwanajeshi mstaafu asimamie huo mradi mfano mkuu wa majeshi mstaafu nk na kila kituo kilindwe na mwanajeshi mwenye silaha ili staff waogope kuiba na kuwe na supervisor wanaokagua hesabu daily!
Ndugu umewahi kufanya biashara yoyote japo ya Genge la nyanya? naona unaongea vitu vya kufikirika unasema serikali iuze mafuta!! Serikali ipi unazungumzia hii iliyovuruga soko la korosho na sukari au?
Mkuu,Kosa lao ni nini?Ewura Inapanga Bei kwa kuangalia bei katika soko la dunia lakini je inaangalia hawa jamaa wana stock ya mafuta kiasi gani?Je kama bei inashuka kila mwezi ilhali wao wana stock kubwa je serikali inawafidiaje hio hasara?Profit margin ya Mafuta ni ndogo na unapokuwa na reserve kubwa kisha bei ikashuka ni bora usiuze mpaka bei itakapopanda tena.Mafuta yamepungua bei kwa kiwango kikubwa katika soko la dunia.Serikali kabla ya kushusha bei ilipaswa ikae na wadau kujua actual fuel stock sokoni ni kiasi gani.Polisi jijini Dsm imewakamata wakurugenzi wakuu wa kampuni za mafuta za Puma, Total na Oryx waliokuwa kwenye kikao cha kibiashara.
Kadhalika polisi wanamsaka mkurugenzi mkuu wa Lake Oil ili aunganishwe na wenzake.
Imeelezwa wakurugenzi hao wanadaiwa kuvuruga mfumo wa usambazaji mafuta nchini.
Chanzo: ITV habari!
Hizi statistics zako ni za muda sana, 2018 Total ilinunua kampuni ya mafuta ya Gapco, hivyo market share yake kwa sasa ni kubwa. Bado anakiwanda cha kutengeneza lubricants hapa hapa nchini.Revealed: 7 oil firms control over 67pc of market share
View attachment 1492872
Imebidi ni google unapotaka kuangalia how things will work out in oil retail unahitaji data kujua how you will be affected
Umeona hapo Oryx 15.5% Puma 14.4% na Total 8.5% share yao kwa pamoja ya soko ni 38.4% jumlisha na Lake Oil inazidi 40%.
Sasa usidhani korosho hizo uchezee, ukifingia hao kichwa kichwa utatia akili aichukui mwezi uchumi utakuwa kwenye hali mbaya hatari. Embu acheni kujifurahisha.
Daa wapi huko!?? Hapa Moro bei ni 1578Bei ya mafuta katika soko la dunia imeshuka.lakini hapa nchini Kuna sehemu watu wananunua Lita 1 ya petrol kwa zaidi ya shilingi elfu 4.hapana huu ni uhujumu uchumi.
Polisi jijini Dsm imewakamata wakurugenzi wakuu wa kampuni za mafuta za Puma, Total na Oryx waliokuwa kwenye kikao cha kibiashara.
Kadhalika polisi wanamsaka mkurugenzi mkuu wa Lake Oil ili aunganishwe na wenzake.
Imeelezwa wakurugenzi hao wanadaiwa kuvuruga mfumo wa usambazaji mafuta nchini.
Chanzo: ITV habari!
wawekezaji hatutaki kwasasa serikali ya Magu inauwezo wa kuwekeza! wezi tu wale wote waende tu!Kwa hiyo polisi wameanza kuingilia vikao vya biashara Kama vikao vya siasa?!
Kama Wana makosa si wangepelekewa tu hati ya kuwaita kunakotakiwa wakajieleze?
Utaratibu wa mamma hii haujengi bali utazidi kuchafua uhusiano wa serikali na wawekezaji.