Wakurugenzi wa Makampuni ya Mafuta ya PUMA, Oryx, TOTAL na Lake Oil wakamatwa na Polisi kwa kuvuruga mfumo wa usambazaji!

Kesho ni siku ya kutoa bei mpya ya mafuta, hapa nawaza nibeti kuweka mafuta full tank kwamba bei itapanda, au nisijaze kabisa leo nisubirie kesho inaweza kushuka tena[emoji848][emoji848][emoji848]?
 
Na kuna kipindi wanaagiza mafuta mengi kwa bei ndogo na ikija kupanda inakuwa faida kwao
Tatizo siku zote ni pale tu mafuta yanaposhuka, mwaka jana mwanzoni mafuta yalipanda hadi kufika 2300 kwa dsm, na wala hakukuwa na shida ila leo yameshuka wanaanza kulialia
 
Ewura waje na bei ya sh. 800 ili wafiche vizuri hayo mafuta, wamezoea kutunyonya na mabei yao huku wakitengeneza faida kubwa (windfall profit). Kuna wengine kila kukicha wanafungua vituo vipya, which means wanapata faida ya kufuru...
Hayo mafuta wayachimba chumbani kwako?
 
Tuombe Mungu Sheria ziwe zimebadilishwa vizuri ama la yatatutokea kama ya aftermath ya Azimio la Arusha, nafikiria kiumbea zaidi
 
Harakati za kuibeba TPDC na Vituo vyake vya mafuta Zimeanza, Yale Yale ya Fastjet
 

Weka mafuta leo kesho bei inapanda mark my word kwa Tsh. 150- 170
 

Lakini pia anapaswa ajue kuwa Price ya hapa nchini inaconsider cost za manunuzi kwa mwezi husika na ndio mfumo EWURA wanautumia kwahiyo sio wanalazimishwa kuuza kwa bei hiyo ila ni kuwa regulator anajua mafuta yalinunuliwa kwa cost zipi na yanapaswa kuuzwa kwa cost ipi ndio sababu inawezekana walikuwa wanataka kuhold sababu wanajua watatengeneza margin kidogo kwa mwezi unaofuata
 
Kazi kubwa ya efd mashine ni kumonitor mauzo ya mfanyabishara lakini, linapokuja suala la umenunua kiasi gani hilo hajali. Tambua sheria ya kodi mbogo huangalia umeuza nn
Unavyotengeneza fs purchases zako unajitungia au kunakuwa na documents kuthibitisha manunuzi mfano kwa mafuta import duty , vat on purchases n.k
Kwa hiyo hapa huoni kwamba utapata information unazotaka???
 
Mkuu mm nipo kilosa, shida ya huku ni moja shell mafuta wanapima ya 5000 tu, kwa wenye magari sijui lakini Bodaboda na wateja wengine wa mafuta hauekewi mafuta zaidi ya hiyo hela, na hilo tatizo halikuwepo kabla ya mafuta kushuka bei so that means kuna tatizo Lipo
 
Wanadhani mafuta ni makinikia
 
Microsoft Corp v Commission T-201/04 is a case brought by the European Commission of the European Union against Microsoft for abuse of its dominant position in the market. Wikipedia
 
Price za mafuta ni kama zipo zigzag sahivi.Kama hao wakurugenzi ndo wanaleta mkanganyiko huo watiwe hatiani.
Hahahah tunakoenda serikali iko njiani kufanya biashara ya mafuta...mafuta ni strategic way ya kuleta economic sabotage (kuhujumu uchumi).

Serikali iuze tu mafuta ila changamoto serikali haina akili ya biashara.
 
Ninunue mafuta kwa 2300 kwa lita afu uje unilazimishe niuze kwa 1500? Omba yasikukute. Mnashabikia tu kwa vile hela sio zenu. Laiti kama ingekuwa ni wewe
 
Hawa jamaa bei ya mazutu ikipanda akuna tatizo,ila ikishuka ni shida.kuwakamua walaji ndo fahari kwao.
Utafurahi kiasi gani pale wewe unaponunua kitu chako kwa bei ya 2000 kwa ajili ya biashara then anatokea mtu anakuamuru uuze kwa 500?
 
Ni wakati sasa serikali kutumia shirika la TPDC kuagiza na kuuza mafuta ili kuondoa unyonyaji wa hawa wafanyabiashara binafsi..
 
Una uhakika na ulichokiandika!?

Jamaa hajui hata anayepanga bei ni EWURA. Ninadhani kuna nia mbaya dhidi ya makampuni haya. Kampuni za mafuta zinapata hasara sasa kwa sababu ya kuanguka kwa demand - huenda kampuni hizi hazijafanya importation ya mafuta (kukwepa hasara) na hivo kupungua kiasi cha mafuta nchini. Sijui importer analazimishwaje kufanya biashara!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…