Mzee wa Code
Member
- Sep 23, 2024
- 61
- 91
Mbunge wa Conchesta Leonce Rwamlaza ameonyesha nia ya mabadiliko ya Katiba kutoka na Ufujaji wa Pesa za Maendeleo na Tozo mbalimbali katika ngazi ya Halmashauri unaofanywa na watumishi wa halmashauri kupitia nafasi ya Mkurungenzi ambae mamlaka yake ya kupata nafasi hiyo ni uteuzi Ngazi ya Rais wa Jamuhri ya Muungano wa Tanzania
Akitoa maoni yake bungeni Mbunge Huyu amesema kuwa utaratibu wa kuteua wakurungezi unasababisha hasara na upotevu wa pesa nyingi za maendeleo uku ukikosekana ubunifu wa vyanzo vya mapato sahihi, amavyo sio kero kwa wananchi akitoa mfano mmoja wapo wa tozo ya ajabu ni hamashauli kukusanya ushuru wa choo.
Rwamlaza anasema wakurungenzi wakiteuliwa kunaondoa uwajibikaji na uadilifu kwenye utumishi wa umma, na kugeuzi halmashauli kuwa vijiwe vya siasa akimaanisha kuwa wapo baadhi ya wakurungezi wamepata uteuzi baada ya kushindwa ubunge awali.
Soma Pia: Kunambi: Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe Wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira
Maoni ya Mbunge Rwamlaza ni sehemu ya Rejea ya Katiba pendekezwa ya Warioba kuwa wakurungenzi wa halmashauli wawe waajiliwa ili kulinda pesa za serikali
Wabunge wanajadili taarifa za kamati tatu za LAAC, PAC, PIC, ambapo kwa kiasi kubwa taarifa ya KAMATI ya ya bunge ya hesabu za serikali za mitaa imeonyesha madudu ya mengi ya matumizi mabaya ya fedha za serikali na kutokamilika kwa miradi ya maendeleo, taarifa hiyo iliyowasilishwa na Mwenyekiti wake Halima Mdee imeonyesha Upigwaji wa Mabilioni katika Hamshauri