20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Habari
Kama ningeriweza kuandika kikurya basi mwanzo hadi mwisho ningeongea Lugha ya kure kwetu nchini(kanda maarum)
Ila hili jambo ndo hasa rimenifanya niandike uzi huu.
Wengine hatuku bahatika kuwa karibu sana na watu kutufundisha lugha yetu. Kutokana na sababu mbalimbali, tumekuwa wazungumza kiswahili wazuri.
Hebu tufunishane Lugha yetu ,, najua watu wa type yangu wapo wengi mm mifungka hebu karibuni
Nb: Nimemix R&L makusudii