Wakusanya kodi za mabango Ilemela hawataki kutoa ‘control number’, wanataka ‘Cash’

Wakusanya kodi za mabango Ilemela hawataki kutoa ‘control number’, wanataka ‘Cash’

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Kuna kero kubwa sasa hivi Watu kutoka Halmashauri ya Wilaya Ilemela Jijini Mwanza wanapita kila ofisi wanataka kodi ya mabango na ukiomba control namba hawataki kutoa.

Tunamba Serikali iondoe hiyo kodi kwa sababu mteja anajitangazia biashara zake kupitia bango ili apate kodi ya TRA, jamanI sisi watengeneza mabango sasa hivi hamna wateja, wanaogopa kulipishwa kodi tuteteeni jamani.
 
Back
Top Bottom