Wakusanyaji ushuru wa paking kariakoo

abdul kadir faraji

New Member
Joined
Mar 16, 2019
Posts
2
Reaction score
0
Karikoo kume kuwa na kero kubwa sn kwa wakazi wanaishi karikoo gharama zimekua ni kubwa kuliko kipato kinacho patikana leo ntazungumzia suala la paking ukimiliki gari mjini huwezi kukaa nayo kwa mtu wa kawaida labda ukubali ww uishi karikoo gar upaki magomeni gari zenyewe za mikopo ukimilik gari mjini baasi uandae kila cku elfu 5000 kwaajil ya paking peke yake mshahara wenyewe laki 5 kwa mwezi yaani serekali ilitakiwa ifikirie raia wanaishi karikoo kwanza kabla ya kuweka viwango vyao ukurukupwaji mkubwa na uonevu mkubwa unafanywa asanteni..!
 
Tukumbuke kuwa hatana kiwanda cha kutengeneza fedha, ili wewe upate mshahara, ujenzi wa miundo mbinu pia..it's your money doing all this..
 
Tukumbuke kuwa hatana kiwanda cha kutengeneza fedha, ili wewe upate mshahara, ujenzi wa miundo mbinu pia..it's your money doing all this..
Anachozungumzia ni gharama kubwa Mkuu sio kwamba hataki kulipa ulimsikia Mzee baba akidai hela za kuwalipa Wananchi kupisha mradi wa bagamoyo walilipana wajanja wa mjini sio hela zote zinajenga bara bara zingine zipo katika fungu la kupigwa huku wachache wakikamuliwa...
 
Aah achna nao haoo cauz haoo ndo wale walaji wa pesa znapo patikana lazima watete matumbo yaoo hiyoo miundo mbinu inatekelezwa kwa hela ya parkng yaan gari inalupiwa mshaahara wa mtu halafu watu wanaunga mkono kodi kandamiz.....!
 
Mkuu inabidi na wewe ujiongeze. Fanya hivi pale kituo cha mwendo kasi gerezani kama unaenda shule ya uhuru kuna parking kwa siku nzima 2,000/=. Au Shule ya sekondari Gerezani nako 2,000/= kwa siku.

Kama unakaa maeneo yenye shida ya usafiri jioni na asubuhi unaweza kupakia abiria kwa 2,000/= kwenda na kurudi hukosi 14000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…