Wakutwa na CHUCHU za TEMBO

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
9,728
Reaction score
1,204
Polisi mkoani shinyanga inawashikilia majangili kwa kuwakuta na CHUCHU 2 ZA TEMBO,vipande vya mikia ya tembo,maskio ya tembo,pamoja na risasi kadhaa........
Sosi:mwananchi

NATAMAN NA WALE WALOTOROSHA TWIGA NAO WAKAMATWE
 
Bado Maige!

amesema ana bomu la kulilipua during kikao cha BAJETI,,,,any way tunasubiri hiko kikao,,,,next week tujue atalipua bom,au atajilipua...?????
 
sasa chuchu za tembo kwa ajili ya kazi gani?
 
amesema ana bomu la kulilipua during kikao cha BAJETI,,,,any way tunasubiri hiko kikao,,,,next week tujue atalipua bom,au atajilipua...?????

Aache kutapatapa huyu Maige kwani alizaliwa kuwa waziri daima? kama alikuwa anapenda ukubwa huo alitakiwa kuwajibika pasipo kuogopa kwa hiyo sasa woga umekwisha?
 
amesema ana bomu la kulilipua during kikao cha BAJETI,,,,any way tunasubiri hiko kikao,,,,next week tujue atalipua bom,au atajilipua...?????
angenyamaza tu muda ukifika alipue au alipue muda huu lakini kwa namna hii wanaweza kumtafuta (hao wanaohisi atawalipua) wamlipue yeye kabla...
 
Alipue bomu lipi naye ndo alikuwa na wasuport wasukuma wenzake kuwa majangili,
Naye alikuwa wizarani kibiashara zaidi badala ya kutekekeleza majukumu,aliuawawa faru wa kwanza akiwa wizarani,hao wawili nao wameuliwa tena akiwa waziri kamili na taarifa hata wirani hazikufika,ni lipi analotaka kutueleleza kama watanzania,kuna mahaali naye amehifadhi nyara,kama hajui hii ndo bongo,tena aache kelele.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ataanzisha tena status facebook ya kulia lia!

Si alikuwa anafanya biashara wizarani badala ya kazi,hajiulizi tu kwanini wenzake kama Magufuli kwanini kila wakati anarudi?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Si alikuwa anafanya biashara wizarani badala ya kazi,hajiulizi tu kwanini wenzake kama Magufuli kwanini kila wakati anarudi?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Haya tushajua kumbe na wewe unamiliki!!
 
chuchu za kunyonya?kwani hawajashiba maziwa ya mama zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…