Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Happy new year auntieWho are they by the way? Usije wasikiliza kabisa. Umechagua njia sahihi na salama sana.
Nimefupisha tu maelezoYaan umeonja mara 2.wakati uko mtoto na sasa,unataka gambe likupende/uliweze?.shibisha kwanza cv ya kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siijui hataView attachment 1309152 hii kitu vipi ??? mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Happy new year auntie
Sure sure , unaachia ngazi tu.Sio kila kitu lazima ukiweze atuachie wenyewe tunayoiweza
Jaribu ciders.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume analalamika eti bia ni chungu!
Mwanaume hunywi bia hushabikii timu yoyote hupendi mziki kaa tu nyumbani ujifunze kupika chapati na kufuma vitambaa
Labda kwenye ulimi waoNiliwahi ambiwa ni tamu sijawahi kuvijaribu