Tatizo sio wakati wa kunywa, mziki wa pombe kesho ukiamka hahahaKunywa Savana au Smirnoff Double black hivi hata Serengeti lite jamani ni chungu?
Daah Mkuu mwezi February kwangu unakuaga mgumu sana sijui kwanini...January nakulaga bata kama december
Unanichoma nafsi.. mpaka najiuliza ni mimi ndo nilitoa ahadi au [emoji3] mana sina hata mbuni nyekundu
Hahaha halafu mwezi wangu wa kuzaliwa hebu tenda miujiza yakoDaah Mkuu mwezi February kwangu unakuaga mgumu sana sijui kwanini...January nakulaga bata kama december
imagine mm mtoa offa nmelala nyumbani natokwa mapovu Jf...[emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenichekesha ila huu mwezi huu[emoji848][emoji848][emoji848]Unanichoma nafsi.. mpaka najiuliza ni mimi ndo nilitoa ahadi au [emoji3] mana sina hata mbuni nyekundu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenichekesha ila huu mwezi huu[emoji848][emoji848][emoji848]
Ngoja tuone huko mbele itakuwaje naweza nikafanya kitu...our deal iwe valid tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kabisa mpira unaelekea kugeuzwa huu[emoji23][emoji23] ila lazima Siku moja Kareokee ihusike
Nimeshaandika kwenye Diary si unajua sina dogo[emoji1787][emoji1787]aisee... huu mwezi febu hapana!
niombee nipate mbuni huwenda nikakukodia Meli tukafanyie birthday cambodia
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha afu hata sipendagi karaokeNaona kabisa mpira unaelekea kugeuzwa huu[emoji23][emoji23] ila lazima Siku moja Kareokee ihusike
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Unapenda nini wewe!??Hamna shida utakapokuwepo nami nipo [emoji848]hahaha afu hata sipendagi karaoke
basi tu nmetokea kujua ratiba zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Unapenda nini wewe!??Hamna shida utakapokuwepo nami nipo [emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshaandika kwenye Diary si unajua sina dogo[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app