Mke wangu ananitesa
Member
- Jan 14, 2025
- 43
- 85
Wakuu naomba mnisaidie nikifanya maombi ya cheti cha kidato cha 4 kilichoungua naweza kukipata kwa muda gani?
Najua humu wazoefu wapo na je kama, Nina haraka nacho sana hicho cheti nofanyaje Ili kukipata Yani at least week 3
Naweza subiria isizidi hapo, embu nipeni ushauri wenu wakuu
Uzi tayari