Mke wangu ananitesa
Member
- Jan 14, 2025
- 43
- 85
Kwanini usiende kwenye website ya Necta ukachukua namba zao ukawaulizaWakuu naomba mnisaidie nikifanya maombi ya cheti cha kidato cha 4 kilichoungua naweza kukipata kwa muda gani?
Najua humu wazoefu wapo na je kama, Nina haraka nacho sana hicho cheti nofanyaje Ili kukipata Yani at least week 3
Naweza subiria isizidi hapo, embu nipeni ushauri wenu wakuu
Uzi tayari
Nmeulza ni mwezi lkn wabongo tunajuana danadana nyingi ndo maana nauliza legends hapa kujua njia za kupitaKwanini usiende kwenye website ya Necta ukachukua namba zao ukawauliza
AsnteKama uko Dar (sijui kama wamehamia Dodoma) nenda Necta uonane nao uso kwa uso watakueleza jinsi ya kupata cheti kingine badala ya kile kilichoungua!
Wasiliana na watu wa necta, wanakujibu chap, ingia kwenyewebsite then uwatumie emailWakuu naomba mnisaidie nikifanya maombi ya cheti cha kidato cha 4 kilichoungua naweza kukipata kwa muda gani?
Najua humu wazoefu wapo na je kama, Nina haraka nacho sana hicho cheti nofanyaje Ili kukipata Yani at least week 3
Naweza subiria isizidi hapo, embu nipeni ushauri wenu wakuu
Uzi tayari