wakuu ebu tujuzane makabila na sifa zake

wakuu ebu tujuzane makabila na sifa zake

francis kibiki

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
477
Reaction score
516
kama kichwa kinavojieleza apo juu mim ni muhehe sifa yetu tunaambiwaga tuna kula madogi ila mimi sijawah kula aiseee.
sifa ya pili ni kwamba hatunaga shida pindi tunapokuwa tunashida tunajifanyaga hatunaga shida kabisa ....... embu tupen na sifa zingine za makabila yenu kwa mafano wabena ,wasafwa ,wanyakyusa.. nk ivi ni kwel niliwah skia wakinga walikula mzungu wakizan nguruwe,, eb tujuzane jamn
 
Mimi ni mpogoro nafikiri sifa zangu mnazijua wakuu

Cc Zero IQ
 
Nikajua umeweka sifa, kumbe unataka watu ndio waweke? Ngoja tuendelee kusubiri.
 
Tuanze na nyie Wahehe ....nyie mnakula dog...
 
Wahaya- kupenda sifa, kujisikia.

Yani wahaya wao hakuna wanalojua zaidi ya kutangaziana mafanikio na kujionezha wao ni mambo safi, hata kama shida iko ni mwendo wakupretend tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajita wanapenda kufuata maadili ,wakali , co wanafki wako direct ,
 
Waarusha sifa zetu ni Wachapakazi,Wakarimu,Real love na hatutakagi ujinga asee.!!Pia zamani tulikua tunadumisha mila zetu
 
Back
Top Bottom