Wakuu(GT)!! Hodi Kidogo!!.

Wakuu(GT)!! Hodi Kidogo!!.

007 De Souza

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
901
Reaction score
483
Habari zenu wana jamvi?mm ni new member wajameni naomba kupokelewa na Great Thinkers wa humu ndani na kupewa muongozo na ushirikiano wenu.
thankyuuuu.
 
Karibu kidogo! Usivue viatu kidogo!
 
athanteni sana viongozi wangu! halafu kuna hi kitu inatajwatajwa sana humu eti pm mara mtu anataka um-pm sa sijui ndo kumfanyaje?wakuu msaada tafadhari
 
athanteni sana viongozi wangu! halafu kuna hi kitu inatajwatajwa sana humu eti pm mara mtu anataka um-pm sa sijui ndo kumfanyaje?wakuu msaada tafadhari

Ndo kumP
 
Back
Top Bottom