Wakuu hawa street univesty vip? Nimeona matangazo yao huku arusha kwamba watato mafunzo

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Eric Shingongo na mwenzake jems wamebandika mabango yao huku a town kwamba wataendesha semina ya ujasiriamali kwa watu wa arusha na kiingilio ni buku 5.

Niliwahi tazama dvd ya huyu jamaa ya street univesty sikuona c kuona cha maana sana, c jajua kwa haya mafunzo yao ndo bado wanataka kuleta story za kwenye ile dvd yao au vip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…