Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wakuu hii ni fursa ya kupiga pesa au mimi ndo fursa yenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo fursa wewe na mleta fursa fursa ya pili
duuh kwaiyo nikimbie harakaWewe ndo fursa
Tena mbiooduuh kwaiyo nikimbie haraka
Mzee nili kuuliza kama una vitabu vya Alex rider??Watakupeleka polepole tu. Itafika mahali ili kuweza kupokea malipo yako itakulazimu utoe transfer fee ya kama laki moja hivi au zaidi. Na hapo ndiyo watakuwa wamemalizana na wewe na hutawasikia tena!
Ama watakufanyisha hiyo mikazi yao na mwisho watasepa...
Hitimisho: Wewe ndiyo fursa!
daah hawa jamaa michosho sana nkajua nshalamba bingo tayari nianze kukopa Januari hii kumbe holaa 😢Tena mbioo
Kwa sasa msikilize anachokwambia mkubalie
Sina ndugu yangu. Na wala sijawahi kumsikia huyo mwandishi. Ukiingia kwenye tovuti hizi za vitabu vya bure bila shaka utaweza kuvipata 👇👇👇🙏🏿Mzee nili kuuliza kama una vitabu vya Alex rider??
mkuu nkinyooshwa unataka niende kujiliza wapi mkuu zaidi ya kurudi kwenu wakuu mniboostUsirudi na thread ya vilio na kusaga meno
Nili kuwa nahitaji hard copy, jina la kitabu ni alex rider ila mwandishi ni Anthony Horowitz.Sina ndugu yangu. Na wala sijawahi kumsikia huyo mwandishi. Ukiingia kwenye tovuti hizi za vitabu vya bure bila shaka utaweza kuvipata 🙏🏿
Tovuti za kupakua Vitabu bure
1. www.pdfdrive.net
2. www.b-ok.org
3. www.4shared.com
4. www.bookboon.com
5. www.worldreader.org
6. www.bookfi.net
8. www.ebookee.org
9. www.sharebookfree.com
10. m.freebooks.com
11. www.obooko.com
12. www.manybooks.net
13. www.epubbud.com
14. www.bookyards.com
15. www.getfreeebooks.com
16. www.freecomputerbooks.com
17. www.essays.se
18. www.sparknotes.com
Allah kumbeKwa sasa msikilize anachokwambia mkubalie
Atakupeleka telegram kwenye group lao kuna vitask utavifanya vifanye
Utalipwa kwa mara ya kwanza
Fanya task unaweza kulipwa tena mara ya pili bila kutoa chochote
Ukifikia muda wa kulipie ili upewe pesa nyingi kimbia
Nakwambia kimbia
🤔??Una account ya linkedin na ina connection kuanzia 1+ na kuendela na kuendelea
Na iwe na mda kuanzia mwaka 1 na kuendelea
Kuna boss anahitaji umkodishie atakulipa kila wiki kuanzia dola 8-150 na kuendelea kulingana na account utakayokuwa nayo
Njoo inbox ukiwa tayari
Sasa hard copy hata kama ninayo wewe utaipataje? Kwa nini usidownload soft copy bure?Nili kuwa nahitaji hard copy, jina la kitabu ni alex rider ila mwandishi ni Anthony Horowitz.
Heee anaifanyia nini account yenye jina langu, hapa mjini mambo ni mengiUna account ya linkedin na ina connection kuanzia 1+ na kuendela na kuendelea
Na iwe na mda kuanzia mwaka 1 na kuendelea
Kuna boss anahitaji umkodishie atakulipa kila wiki kuanzia dola 8-150 na kuendelea kulingana na account utakayokuwa nayo
Njoo inbox ukiwa tayari
Kama unayo waweza niazima mkuu, soft copy sinaga urafiki nayo.Sasa hard copy hata kama ninayo wewe utaipataje? Kwa nini usidownload soft copy bure?