Wakuu hii ni kawaida au kuna tatizo?

Joined
Jan 8, 2014
Posts
93
Reaction score
32
kwa mara ya kwanza nimeona kitu kama ute (mucus) baada ya kumaliza kukojoa ukitoka.je ni tatizo au ni kawaida?

Shukran.
 
hukuwa unachek porno? vinginevyo ni kawaida tu.,, relax!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…