Wakuu hii Tigana football academy ni ya kuaminika (Dar es salaam)

Kuaminika kvp kwanza..kwani wanatoza fees kubwa za kuingilia mpk uone huenda ni matapeli?au unahisi haki exist kabisa?
 
Tigana Lukinja (Teacher) ni moja kati ya watu ninaowaamini sana. Hivyo, hata hiyo academy yake ni ya kuaminika haswa.

Niamini Mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…