Zombie S2KIZZY JF-Expert Member Joined Mar 15, 2021 Posts 826 Reaction score 1,622 May 21, 2023 #1 Wakuu hivi hizo fila bado zinapatukana kwel kibongo bongo. Na ambao waliozivaaga kipind hicho watuambie ni bei gani ilikua enzi hizooo.
Wakuu hivi hizo fila bado zinapatukana kwel kibongo bongo. Na ambao waliozivaaga kipind hicho watuambie ni bei gani ilikua enzi hizooo.
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 May 24, 2023 #2 Unataka za nini?..uvae Leo??
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 May 24, 2023 #3 Coolio is dead... those were the golden days
Zombie S2KIZZY JF-Expert Member Joined Mar 15, 2021 Posts 826 Reaction score 1,622 May 24, 2023 Thread starter #4 The Boss said: Unataka za nini?..uvae Leo?? Click to expand... Hizi ni Kali bobu kuliko walzotoa mwaka Jana Mbona hata air force one tunavaa zile za zaman
The Boss said: Unataka za nini?..uvae Leo?? Click to expand... Hizi ni Kali bobu kuliko walzotoa mwaka Jana Mbona hata air force one tunavaa zile za zaman