Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwani tatizo liko wapi? Nyinyi undeni na nyinyi vyombo vyenu vya kifedha mpate kuviongoza wenyewe. Hayo ma IMF sijui ma World Bank yameundwa na wazungu. Acheni kulilia kushika nyadhifa kwenye vyombo ambavyo hamjaviunda.
Si muunde vya kwenu tu. Au hamuwezi? Mtashobokea vya wazungu hadi lini? Mimi nadhani hamuwezi kuunda vya kwenu ndo maana kutwa kucha mnalilia vya wazungu. Kama mba ubavu basi undeni vyenu. Simple as that.
mkuu sio hivyo sema point ilikuwa kwann waafrika hawapewi uongozi wa juu'halafu unataka world bank ziwe ngapi
Kwa nini wapewe uongozi wa juu?
my point kama wote tukiwa member wa hizo organization kwann kusiwe na changes kwenye post ya juu hii ingesaidia kubadilisha sheria kandamizi kwa nchi masikin
my point kama wote tukiwa member wa hizo organization kwann kusiwe na changes kwenye post ya juu hii ingesaidia kubadilisha sheria kandamizi kwa nchi masikin
kama mmeona kuna sheria kandamizi na hakuna la kufanya kubadilisha ndo maana mdau hapo juu akakwambia tuanzishe vyombo vyetu na sio lazima viitwe wb au imf,..tunaweza kuviita blacks bank kama unavyotaka weusi wako uwe priority,.hivi koffi anaan alipokuwa bosi wa UN alifanya nini kuwasaidia watu weusi zaidi ya kuwa kibaraka mpole kama msukule!obama je?anamwaga madola africa au??
Tuache kuwa wanachama tuunde na sisi vya kwetu ili nao waje kuomba uanachama na sisi tu call the shots for once. Usitegemee fadhila toka kwa hao watu. Wao hawakutegemea fadhila toka kwetu.
Sana sana weusi wanaishia u regional director. Yale ni mashirika ya wazungu kaka. Ila km ujuavyo bosi wao yuko segerea ya new york. Sarkozy mbaya.
kwani hizo sheria za kujiwekea haziwezi pitiwa upya tena kuwa atleast na uwasa
hacheni utani tupewe WB na IMF
you must be joking broo
BOT yetu tumei-EPA
Huko si tutakodisha ndege ya mizigo kubabe pesa ya wezi (ufisadi)
Tuache kuwa wanachama tuunde na sisi vya kwetu ili nao waje kuomba uanachama na sisi tu call the shots for once. Usitegemee fadhila toka kwa hao watu. Wao hawakutegemea fadhila toka kwetu.
Sijui kama watatuacha tufikie hiyo level; tatizo ni kuwa kabla hatuja jiorganize watakuwa walisha tuvuruga nakuishia kupigana na hiyo ikitokea wata i publicize hiyo ili kutu intimidate kwamba bila wao hatuwezi na ku brainwash mind zetu kuwa bado tuko uncivilised. Bado tuko utumwani ila Mungu karibu anatukomboa kwani Brazil; India na China wamesha break even na wao population yao inaendelea kupungua huku vijana wao wakifurahia maisha zaidi kuliko ku invest kwenye education...God will one day give us our Moses!
hacheni utani tupewe WB na IMF
you must be joking broo
BOT yetu tumei-EPA
Huko si tutakodisha ndege ya mizigo kubabe pesa ya wezi (ufisadi)
BOT tu ipo dhoofu li hali ndo mkaendeshe WB? Hebu tuwe serious jamaniKwani tatizo liko wapi? Nyinyi undeni na nyinyi vyombo vyenu vya kifedha mpate kuviongoza wenyewe. Hayo ma IMF sijui ma World Bank yameundwa na wazungu. Acheni kulilia kushika nyadhifa kwenye vyombo ambavyo hamjaviunda.
Si muunde vya kwenu tu. Au hamuwezi? Mtashobokea vya wazungu hadi lini? Mimi nadhani hamuwezi kuunda vya kwenu ndo maana kutwa kucha mnalilia vya wazungu. Kama mba ubavu basi undeni vyenu. Simple as that.
Nyie mlidhan mk.we.re ndo mpika majungu pekee duniani??? Tembea uone....Sana sana weusi wanaishia u regional director. Yale ni mashirika ya wazungu kaka. Ila km ujuavyo bosi wao yuko segerea ya new york. Sarkozy mbaya.
Wakuu ni swali za kizushu hivi haya mashirika ngozi nyeusi kwanini hatupewi kuongoza?