Jamaa wanaita kwa kutumia e-mail. Na watu washaitwa. Amini nakuambia, kama hawajakuita get to know washakutema. But nachokua hata kama wakikutema wanakupa taarika kuwa wamekutoa kwenye mchakato. Nadhani unakumbuka vyema walisema their main means of communication ni through E-mail. Next interview ni this week.