Wakuu hivi "TC" inamaanisha nini?

Wakuu hivi "TC" inamaanisha nini?

Mnyalu Junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
573
Reaction score
199
Ukiangalia kwenye post za ualimu watu wamepelekwa sehemu mbali mbali. Wengine wametajiwa jina la sehemu na kuandikwa TC, sasa hebu niondoleeni utata;

TC=Training College? Teaching College?

TC=Town Council?
 
hahaaa eti teaching college!

Ndo vile, yey alkuwa anajua hvo 'Teacher's college' cjui 'Teachng college' na akawa anafurah ucpime coz kapangwa kufundsha chuo cha ualimu. Atakuwa kaishiwa poz baada ya kujua kuwa kumbe TC=town council
 
Back
Top Bottom