BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Humu humu mitandaoni Mkuu...Naweza download wapi hivi vibwagizo.
1. No noo huku anacheka
2. Usifanye hivyoooo
3. Nauli amepewa yeye ukorofi
4. Kwani Nini
5. Visound vya uhuru kenyata
6. Kile Magufuli alichoshindwa kusema entreneurship
7. Soma hiyo
Ndio lengo lake mkuu, Ndo maana kauliza!Acha ujinga wewe
JaNaweza download wapi hivi vibwagizo.
1. No noo huku anacheka
2. Usifanye hivyoooo
3. Nauli amepewa yeye ukorofi
4. Kwani Nini
5. Visound vya uhuru kenyata
6. Kile Magufuli alichoshindwa kusema entreneurship
7. Soma hiyo
We ni kichaa tena mbwa kokoNaweza download wapi hivi vibwagizo.
1. No noo huku anacheka
2. Usifanye hivyoooo
3. Nauli amepewa yeye ukorofi
4. Kwani Nini
5. Visound vya uhuru kenyata
6. Kile Magufuli alichoshindwa kusema entreneurship
7. Soma hiyo
Ujinga wangu ni Nini?Acha ujinga wewe
Mtandaoni naviona sana nataka nividownload niwe navyo kwenye simu maana vinanifurahisha sana na kuniondolea stressHumu humu mitandaoni Mkuu...
Hiyo ndio nguvu ya Social networking...
Uvivu kutokupenda kufanya kazi. Ukitaka kuondoa stress uwe unajishughulisha hata kwa kulima kabustani kambogamboga hapo uwani Kwa shemeji Yako.Ujinga wangu ni Nini?
Mkuu unaongea Nini? Vithabu ndio kitu Gani?Mkuu tafuta vitu vinavyoweza kuwa na MATOKEO chanya kwenye Maisha yako.
Tafuta vithabu MAARIFA na UIFUNZE zaidi na zaidi.
Hayo ma ucheshi hayawezi kusaidia chochote.
Nashukuru Kwa ushauri tatizo ni Kuwa shemeji anaishi kwenye apartment palm village Hana eneo la bustani.Uvivu kutokupenda kufanya kazi. Ukitaka kuondoa stress uwe unajishughulisha hata kwa kulima kabustani kambogamboga hapo uwani Kwa shemeji Yako.
wewe unampangia mtu chakufanya, sio kila mtu anapenda kulima ,Uvivu kutokupenda kufanya kazi. Ukitaka kuondoa stress uwe unajishughulisha hata kwa kulima kabustani kambogamboga hapo uwani Kwa shemeji Yako.
sio muda wote mavitabu, kila mtu anakituchake anachokipenda kinachomuondolea stressMkuu tafuta vitu vinavyoweza kuwa na MATOKEO chanya kwenye Maisha yako.
Tafuta vithabu MAARIFA na UIFUNZE zaidi na zaidi.
Hayo ma ucheshi hayawezi kusaidia chochote.
Humu ndani watu mna vituko Sana. Ebu faster pitia hapo kwa Mangi uagizie chochote nitapitia kulipa baadaye na range yangu.Nashukuru Kwa ushauri tatizo ni Kuwa shemeji anaishi kwenye apartment palm village Hana eneo la bustani.