carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Figo au mainiHabari wakuu
Kumekuwa na hali ya baadhi ya watu kupata uvimbe kwenye miguu, ambapo unapobonyeza eneo lililovimba kwa kidole, ngozi hubonyea na kuacha shimo kwa muda kabla ya kurudi katika hali yake ya kawaida.
Umekabia juu sana...hebu mwache akaonane na dakitari mkuu wanguFigo au maini
Aiss...magonjwa makubwa kama haya siyo ya kuambiza jamiiforums...mshauri kuonana na daktariKacheki ini
Hakika huenda siyo shida kubwa kihivyo...utakufa kwa pressure humu...Do not google your symptoms nenda kaonane na daktari pengine huna shida kubwa sana
Kabisa mwli huwa na mabadiliko madogo madogoAiss...magonjwa makubwa kama haya siyo ya kuambiza jamiiforums...mshauri kuonana na daktari
Hakika huenda siyo shida kubwa kihivyo...utakufa kwa pressure humu...
Nenda hospital Mkuu. Humu utapandishiwa pressure kwa tatizo dogo.Habari wakuu
Kumekuwa na hali ya baadhi ya watu kupata uvimbe kwenye miguu, ambapo unapobonyeza eneo lililovimba kwa kidole, ngozi hubonyea na kuacha shimo kwa muda kabla ya kurudi katika hali yake ya kawaida.