Breadboard
Member
- Jun 28, 2023
- 88
- 149
Lengo zuri ni kaz nimepata kwahy ndy wanahitajiLengo zuri au baya?
Okay.Nisaidie mwny uwezo aisee
Yap, umepita mule mule, na kama laini bado ipo aende kwa wakala msajili laini dk 3 nyingiOkay.
Marehemu amewahi kua na namba ya simu?
Na ndio option pekee labda apate mtu wa NIDA au kufukua fukua mafaili ya Ndg Marehemu.Yap, umepita mule mule, na kama laini bado ipo aende kwa wakala msajili laini dk 3 nyingi