Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Hahahahhahahaha, mkuu unataka tupate mapumziko?Itakuwa sio siku ya kazi ?
Ndio mpango mzima🤣Hahahahhahahaha, mkuu unataka tupate mapumziko?
Yaani birthday yake?Hahahahhahahaha, mkuu unataka tupate mapumziko?
Kwani amezaliwa Juni 3? MkuuYaani birthday yake?
Hahah nakubaliNdio mpango mzima🤣
Hahaha, usingezamia, watu na mikutano yao.kuna siku nimezamia semina flani, katikati ya semina tukatangaziwa ugeni ni mkuu wa wilaya baada ya porojo zake si katuimbisha wimbo wa hbd samia
nkaona huyu mkuu nae umeme mdg kichwani
mkuu kuna ubwege sana siku hizi, kuna siku pia tulikuwa na mkutano wa umoja wetu (kampuni uchwara flani) acha mkuu wa wilaya amuombe katibu amuorodheshee mafanikio ya kakampuni ketuHahaha, usingezamia, watu na mikutano yao.
maadhimisho ya Siku ya Samia mwaka huu yatakuwa ya kipekee na ya kitofauti.
| (1) Leo siku ya tatu katika mwezi wa Juni | (1) Today is the third day in the month of June |
| Kazaliwa Bwana wetu King George Sultani | When was born our lord and sultan King George |
| Jamii ya wote shime andameni Mkongeni | Everyone hurry up and proceed to Mkongeni |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (2) King George ni mwana wa King Edward | (2) King George is the son of King Edward |
| Amezaliwa Ulaya nchi ya upande wa kaskazi | He was born in Europe in a country to the north |
| Kama tujuavyo yeye ni pekee asadi17 | As we know he is a special lion |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (3) Watakutana mabwana wakubwa na wadogo | (3) The noble and the lowly will participate |
| Hapazuiwi kijana akuambiaye ni mrongo | No youth will not be denied; whoever tells you otherwise is a liar |
| Wala fujo hapatakuwa ya mafimbo na magongo | Nor will there be disturbances with sticks or clubs |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (4) Siku hiyo ni siku ya furija na anasa18 | (4) This day is a day of celebration and entertainment |
| Atakayejaliwa kwenda furaha hatakosa | Whoever attends will certainly be happy |
| Kwani ni siku ya idi bashasha yatupasa | For it is a holiday and we are expected to be joyful |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (5) Atahudhuria Gavana bwana wa Tanganyika | (5) His Lord the Governor of Tanganyika will attend |
| Siku hiyo mwenye nishani itampasa kupachika | On this day whoever has medals should wear them |
| Asiyekuwa na mwana hata jiwe ataeleka19 | The one without children should carry a stone |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (6) Akina Bwana Askari hupanda wao farasi | (6) The soldiers will mount their horses |
| Mwendo wao taratibu kama mwendo wa papasi | They will pass slowly by, at the speed of a tick |
| Kuwaonyesha raia mambo yasiyo kiasi | To show the citizens extraordinary things |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (7) Tazameni ibura ya Mfalme kuwa Ulaya | (7) Look at this extraordinary celebration for a king who is in Europe |
| Huko mambo mbayana kama amehudhuria20 | There [at Mkongomeni] things will be celebrated as though he were attending |
| Jamaa ukaidi wani mbona mtaangamia21 | What’s the point of being stubborn lest you be destroyed?22 |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (8) Kuna wingi wa Polisi wazuiao hatari | (8) There are many police to prevent danger |
| Wapitisha kwa kiasi zote pia motakari | They only allow selected motorcars to pass |
| Hiyo ndiyo dunia wala nyingine haiwi | That is indeed how the world is. It cannot be otherwise |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (9) Mfalme King George wote mnamjua | (9) Sovereign King George all of you know him |
| Kwa alama za mataji mara utamjua | By the symbol of his crowns you’ll immediately recognize him |
| Na utakapo ya zaidi soma utajua | And if you want to know more, read about him |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (10) King George ana sifa kupenda wake raia | (10) King George is known for liking his subjects |
| Walio bora na hafifu wote twamfurahia | The upper and lower classes we all are happy for him |
| Tumwombee Rabuka huruma amzidishie | Let us pray to God will show more mercy to him |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (11) Sifa hapa zimekoma mwaka huu najaribu | (11) The praises end here, this year I am trying |
| Labda nitapata yangu huwa bahati nasibu | Perhaps I will have my luck |
| Sikukaa nasimama nangoja yangu matulubu23 | I am not sitting, I stand, waiting to get what I expect |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |