matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
sijui kama nimevumbua au huwa ipi ila nimejaribu imekubalika.
Nimefika home nimechoka, na sikuwa na wakunipikia na siwezi kula mabarabarani.
nikachukua sufuria nikamwaga mchele mkavu, nikaweka chumvi, maji na mafuta. nikafunika nikawasha gesi nikaenda kuoga kurudi ubwabwa umesimama balaa.
Wakinamama/Dada
Kwa nini huwa mnapika ubwabwa kwa kujitesa sana???