Wakuu kuna mtu anatizama FNL EATV? Stereo na Chemical live

Nyie mnajua mnanichanganya sana.nasikia Mara chemical Mara stereo sasa nimaabara ya chemistry Au physics nilete na catalyst kabisa au hao mnaowataja niwakurugenzi wa bodi gani wakuu.
 
Hip hop haif hvo mkuu, ata wakina pack na other walikuwa na feelings zikawafanya kuandika hits

2pac - me n my gf
Tupac alikuwa hamaanishi girlfriend msichana but alikuwa ana maanisha mguu wa kuku(gun) [emoji30] [emoji30]
 
Wanawake mjitunze jamani bikra ziwe nyingi khaaa. Mtoto wa kiume kusikia bikra kapiga goti kwa Tv hahaha noma sana.
 
Ukonga ni sehemu na pia hiyo sehemu kuna gereza. Mfano mtu akisema yupo anakaa lumumbaa na ukauliza lumumba anafanya kazi ccm


Mkuu kwa wakazi wa Dar ukisema mtu yupo Ukonga, Segerea au Keko tunajua yupo lupango. Sema Stereo anaishi Ukonga sio yupo Ukonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…