Wakuu kuna mwanamke nimempenda humu Jukwaani

πŸ˜€ hebu kwanza nijuze crush maana yake nini nsije kuwa nimeelewa tofauti mie std7 liver
Crush ni mtu ambaye unampenda au una hisia fulani fulani kwake lakini ni ngumu kuwa naye kwenye mahusiano kwa sababu mbalimbali..

Mfano,si unamjua Beyonce??..naweza kusema ni crush wangu..maana kwanza yupo marekani na mimi nipo namtumbo huku,tutakutana wapi??,labda itokee tu miujiza
 
anhaa hapo nimeelewa sasa kumbe sikukosea...
ningeweza kuapload kamziki ningekuwekea mwaya hapa uburudike
 
Watu na bahati zao. Jamaa linegegeda kwa raha zake halafu Demiss huyoooo anachukua TZ 11 huku roho yake ikiwa nyeupe kabisa 😎

Hapa nilipo kuna mtu huwa nampa buree kabisaa bila hata kumuomba chochote hata asiponipa nauli
 
Hii yote ni kwa sababu tu nampenda namheshimu kwahiyo yeye atakavyojisikia maana tunafurahishana akinipa mimba najua tu atalea mwanaeee
Watu na bahati zao. Jamaa linegegeda kwa raha zake halafu Demiss huyoooo anachukua TZ 11 huku roho yake ikiwa nyeupe kabisa [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…