wakuu kuna nafasi mpya utumishi ndo wamezitopa leo

mnyikungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2009
Posts
1,962
Reaction score
2,477
wakuu kuna nafasi mpya wanazipost sasa kweye tovuti yao ajira.go.tz ila kitu kilichonishangaza juu ya utendaji kazi wa hawa jamaa eti wanasema mtu aliyeapply nafasi zile za mwezi wa tano ambazo hawajasaili watu haruhusiwi kuomba tena
 
hahahahaaa,,,dah vikwazo kila mahala,,,,labda wana uhakika kwamba wale waloomba at that tym wooote watapata
 
hahahahaaa,,,dah vikwazo kila mahala,,,,labda wana uhakika kwamba wale waloomba at that tym wooote watapata
cjui kama ndo hivyo, ila huu ni mfumo mbovu sana
 
mimi naomba hivyo hivyo liwalo naliwe book ya kupostia ninayo na picha ninazo za kumwaga, wangesema wote tuliomba tumepata kazi nisingeomba
 
Itakuwa hizo nafasi baadhi yake zinajirudia, wanaweza kuziunganisha na hizo unazozisema, kwa hiyo uki apply utakuwa kama umeomba mara mbili kwenye nafasi moja.
 
mkuu wana akili sana ujue kwa ninini
vyuo vikuu nilimsikilza jamaa mmoja analalamika kuna wakati wanachagua watu zaidi ya 40 kila vyuoo hali anaenda kuingia chuo kimoja tu..so wanataka kila mtu apate nafasi hawana nia mbaya maana wawezakuta uliapply lasttime una ka uwezo cha kulamba tripu hii ambayo ina labda umate umate zaidi unakuta unawapunguzia watu riziki zao we komaa na yale yale yaliopita sikilizia tu serikali inachukua hata mwaka kuitwa kwenye usaili kama Mungu atapenda ingawa kuna walioanza kazi na nafasi za kazi zilizopita usiniuliza nauza mkaa mie
 
Zile za mwezi wa tano hawajaita leo wanatoa mpya? Ushakua mradi wa POSTA na wao zikifika wanachoma moto mabox....
 
ziko website gani mkuu? maana nimejaribu kucheki web ya ajira sioni kitu, sisi tutaomba kibishi hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…