Wakuu kuna perfume inaitwa Zara night II homme nimejaribu itafuta maduka mengi sijapata

ngebo

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
1,684
Reaction score
2,126
Wakuu kuna perfume inaitwa Zara night II homme nimejaribu itafuta maduka mengi sijapata na sitaki kuagiza ebay itachukua muda sana.

Anayeuza hii au anayefahamu wapi nitapata kwa hapa Dar anijulishe.
Screenshot_20200807-181557.jpg
 
Wakuu kuna perfume inaitwa Zara night II homme nimejaribu itafuta maduka mengi sijapata na sitaki kuagiza ebay itachukua muda sana.

Anayeuza hii au anayefahamu wapi nitapata kwa hapa Dar anijulishe.
View attachment 1530035
Ngoja nikifika home nikutumie namba kuna duka flani nadhani wapo mtaa wa azikiwe au zanaki wana kla aina ya perfume
 
Insta kuna dada anajiita fashion by Zindy huwa anauza, Pia NorahProcteruk nae huwa anazo duka lake lipo victoria mtaa wa uporoto nyuma ya jengo la halotel la zamani, unaweza kuwacheki wote kwa instagram page zao pia

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu kuna perfume inaitwa Zara night II homme nimejaribu itafuta maduka mengi sijapata na sitaki kuagiza ebay itachukua muda sana.

Anayeuza hii au anayefahamu wapi nitapata kwa hapa Dar anijulishe.
View attachment 1530035

+255 783 612 822 mcheki huyu anazo yupo Dar
 
Back
Top Bottom