SolarPower
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 223
- 27
Asante mkuu kwa kuwajali Watanzania! Tutajitahidi kuwajulisha watu wengine ila kuna changamoto kweli, vijana wengi hupenda kuniuliza hivi: kompyuta yako ina miziki mizuri utuwekee kwenye flash zetu? Nikiwaambia kuna vitabu tu na video za masomo ya sayansi huniona mshamba sana.

Tuna tatizo sana la kuchagua kipi ni muhimu katika maisha. Hii ni ukosefu wa dira mkakati. Website ni ya muhimu sana kwa vijana wanataka kuwa msingi imara wa maisha yao.