Wakuu kweli hapa nina mke ?

Kugawa namba ni asili yake, mbona hata yeye alipoomba namba akapewa hadi akaamua kumuoa, sasa kumuweka ndani isiwe ndo kumyima uhuru
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi showoffs, fake life and standards za mitandao ya kijamii zina madhara sana, kama hazikuletei frustrations mwenyewe binafsi, jua kuna kundi la vijana wadogo wa kike na kiume zinawafanya waimagine maisha yao kwa kukuangalia wewe. Tupunguze, hazina afya.
 
Hukueleza unipomuuliza alikupa sababu gani ya yeye kutoa namba zake, mimi mke wangu pia ana tabia hiyo ya kucheka na watu wengi na kugawa namba lakini hilo sio tatizo ni kutokana na shughuli ya biashara anayoifanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hapa una Mkeka
 
Mkojoze mkuu...humkaushi nyege wifi yetu....ndomana anacheka Cheka utatombewa cku c nyingi...

am better here
 
Safi , Unajua mademu huwa wanajitoa ufahamu.

Kiukweli linapokuja suala LA Amani moyoni mwangu, NI LAZIMA MWANAMKE AWE VILE NAVYOTAKA, HII NI LAZIMA WALA HAINA MAZUNGUMZO.



sasa basi kwakua umeonyesha hiyo NI tabia ambayo NI mbaya kwako... MWAMBIE ACHA KABIA TABIA YAKO, SIIPENDI TABIA IYO YA KUGAWAGAWA NAMBA NAKUCHEKACHEKA OVYOO NA WANAUME.....




niamin nachokuambia.....DEMU ASIJE KUKUDANGANYA ETI YE "MARAFIKI ZAKE NI WANAUME TUU, OHOOOO HATA AKIWAPOST NIKAWAIDA. OHOOO ANAPENDA TU KUSALIMIA WANAUME, OHOOOO WANAWAKE WENZAKE WANA MAJUNGU ......".. UYO DEMU NI MALAYA SUGU YAAN AMEKUBUHU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…