Wakuu kweli hapa nina mke ?

Huna mke mke hapo ndugu.maana mwanamke aliyoko kwenye ndoa ni kosa kubwa kugawa namba hovyo au ni mfanya biashar anawapa namba wafanya biashar wenzie??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ataliwa kimasihara usipoizuia hio tabia ya Shem!
 

Ulipaswa kujua haya kabla hujaoa..... kwa sasa wewe endesha tu Huu mzigoe ndugu!
 
inaonekana we ndio umemlazimisha kuishi nae, ukiona mke wako anacheka cheka na wanaume mbele yako ujue anawapa ishara mume wake ni bwege hamuheshimu, mke hatakiwi kuwa hivyo, huyo hakuheshimu kabisa.
 
Ndo unavyo danganywa alafu unakubali
 
Afadhari hawa NIDA wanagawa namba baada hata ya mwezi lakini huyu ke wangu haichukui hata dakika 2 kumuomba namba

Nawewe alikupa namba yake kwastyle hiyo hiyo??
 
Jifunze kutokua na wivu wa kijinga

ciproflaxin
 
Dah umenikumbusha mbali sana [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpango wangu nataka nimuanzishie dozi ya makofi nione kama itasaidia
Njia hii waliowai kuijarib waliambulia si tu kugawa No bali na kugawa k makusudi had mfe kwa ngoma. Tena kwa watu wako wa karib. Au wa ovyo. Njia bora Mshawishi. Ukiona bado MSHAWISHI MSHAWISH. km hatabadiliki bas hapo ndo u MSHAWISHI na KUMSHAWISHI na KUMSHAWISHI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…