Urban Edmund JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,250 Reaction score 3,607 Mar 22, 2023 #1 wakuu leo nimekuja na Poll kura yako inaenda wapi kati ya special school za wavulana binafsi nazipenda special navutiwa na league yao Pichani TS, KSS, Mzumbeni,Ilboru
wakuu leo nimekuja na Poll kura yako inaenda wapi kati ya special school za wavulana binafsi nazipenda special navutiwa na league yao Pichani TS, KSS, Mzumbeni,Ilboru
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 182,097 Reaction score 1,099,383 Mar 22, 2023 #2 Urban Edmund said: wakuu leo nimekuja na Poll kura yako inaenda wapi kati ya special school za wavulana binafsi nazipenda special navutiwa na league yao Pichani TS, KSS, Mzumbeni,Ilboru View attachment 2561101View attachment 2561102View attachment 2561103View attachment 2561104 Click to expand... TS ni nini? KSS ni nini? Hizo picha ni majengo ya shule gani? Unataka tupige kura kwa kuangalia majengo pekee au kuna vigezo vingine? Kwa kifupi hujaeleweka!
Urban Edmund said: wakuu leo nimekuja na Poll kura yako inaenda wapi kati ya special school za wavulana binafsi nazipenda special navutiwa na league yao Pichani TS, KSS, Mzumbeni,Ilboru View attachment 2561101View attachment 2561102View attachment 2561103View attachment 2561104 Click to expand... TS ni nini? KSS ni nini? Hizo picha ni majengo ya shule gani? Unataka tupige kura kwa kuangalia majengo pekee au kuna vigezo vingine? Kwa kifupi hujaeleweka!
Urban Edmund JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,250 Reaction score 3,607 Mar 22, 2023 Thread starter #3 Shimba ya Buyenze said: TS ni nini? KSS ni nini? Hizo picha ni majengo ya shule gani? Unataka tupige kura kwa kuangalia majengo pekee au kuna vigezo vingine? Kwa kifupi hujaeleweka! Click to expand... Ts Tabora school na KSS ni kibaha boys
Shimba ya Buyenze said: TS ni nini? KSS ni nini? Hizo picha ni majengo ya shule gani? Unataka tupige kura kwa kuangalia majengo pekee au kuna vigezo vingine? Kwa kifupi hujaeleweka! Click to expand... Ts Tabora school na KSS ni kibaha boys