Wakuu lini tukutane pamoja mbona siku hizi kimya "JF Get TOGETHER PARTY"

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Zamani kila mwaka nilikuwa nasoma nyuzi za watu kukutana live.


Wakuu nini kimetokea kiasi kwamba hatuhamasishani kukutana na kuburudika kama members tukiwa live.


Au kiwango cha upendano JF kimeshuka au mmehamia dodoma?
 
Wasiojulikana wanaufatilia huu uzi kwa umakini usiomithilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…