Hiyo ni deadly combination, na choo kilanaika. Sasa si ndio mwanzo wa kupiga bao huku unajiharishia😂😂😂😂Hii kuanzia maumivu ya gongo, kiuno, kulainisha choo n.k
Anhaa!! nikijaribu kuchanganya hizo ingredients si sawa tu ...
Inatumikaje hiyo.?
ahaa. HaipunguiBei ni elfu 5 kwa chupa boss. Mali ya congo hiyo