Sasa kuharisha napo ni ujuaji?Punguza uzuaji bas member mwenzangu
Toa maelezo jombaa acha uvivu..
Naona ingredients zipo tatu. Tangawizi, pilipili na limao. Hivyo vyakula si watu wanakula kila siku.
Hapo limao mbona haipo boss
Chupa moja tuUnataka chupa ngap boss, karibu