Hongera sana dogo komaa utafika tuu.Wakuu bila Shaka hamjambo humu!
Huyu dogo nimekutana nae mtaani ila kwa haraka nimegundua Huyu kipaji cha utangazaji anacho ila anahitaji mtu wa Kimsaidia ili afikie ndoto yake kwani hajui hata pakuanzia naamini hapa Atapata wa kumshika mkono!
Hizi hapa ni audio nilizo mrecord namba Zane ni 0783029548
Hizi hongera na ushauri nitazifikisha kama zilivyo pia mkuu kama unaweza kumsaidia pi kwa kumpa maelekezo ya nini afanye au amuone nani karibu!Hongera sana dogo komaa utafika tuu.
Japokuwa utangazaji ni zaidi ya kuongea sana.
Usmart pia