Strategy nzuriDah kuna ndugu yetu mmoja ametoa ngoma na Nora Fatehi dah mpaka mda huu sijapata picha kabisa toto kama lile sijui kalibumia mazingira gani.
Tayari ngoma ishavunja rekodi ya fastest million views in Afrika na ndio kwanza teaser tu nyimbo kamili bado.
Hahahaha mkuu Mbona wengi hatuipendi hile ndege,labda ccm,but good move by Vannyboy and it's WCB team.Strategy nzuri
wahindi population wako 1.5bn hivi
Trailers za movies za kihindi huwa zipo zinafika viewers kama 100m hivi, its normal
Huoo wimbo unaweza fikisha 200m hivi
wimbo wake wa Dilbar una 0.6B viewers
Idadi ya wahindi watakaoutazama huu wimbo watakuwa wengi kuliko wale wa east africa
na Vanny kafanya vyema kujiweka second maana sio rahisi kukipata hiki kifaa cha bollywood ambae wahindi wanampenda kama watanzania wanavyopenda Ndege ile iliyokamatwa afrika kusini
Mnhh.. Katease kidogo sanaa...Dah kuna ndugu yetu mmoja ametoa ngoma na Nora Fatehi dah mpaka mda huu sijapata picha kabisa toto kama lile sijui kalibumia mazingira gani.
Tayari ngoma ishavunja rekodi ya fastest million views in Afrika na ndio kwanza teaser tu nyimbo kamili bado.
Tupe ka mfano kidogo mkuumziki ukiufanya biashara unakufikisha mbali bt ukiufanya upate sifa matokeo yake nikuanza kuwachukia wanaofanya mziki kibiashara...
Strategy nzuri
wahindi population wako 1.5bn hivi
Trailers za movies za kihindi huwa zipo zinafika viewers kama 100m hivi, its normal
Huoo wimbo unaweza fikisha 200m hivi
wimbo wake wa Dilbar una 0.6B viewers
Idadi ya wahindi watakaoutazama huu wimbo watakuwa wengi kuliko wale wa east africa
na Vanny kafanya vyema kujiweka second maana sio rahisi kukipata hiki kifaa cha bollywood ambae wahindi wanampenda kama watanzania wanavyopenda Ndege ile iliyokamatwa afrika kusini
😂😂 Wa Tanzania bhana. Hapo bendera ya Tanzania iko wapi??Tatizo hiyo cover artwork kavaa Sweater (sweta) la Tanzania.
Au ndio uzalendo?
Ila wcb wanapenda sifa. Yaani kila wakati wanataka tuwasikilize wao tu.
Pumbaffff hapo mwshon umenichekesha!!Strategy nzuri