Elections 2010 wakuu Mbona Kinana anawadanganya wananchi

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
Wakuu muda si mrefu Kinana ametangaza kuwa Wapinzani watapata viti vya ubunge 51 tu Bara 29 na Zanzibar 22 wakati bado kura zinahesabiwa au ndo njia sawa na ile wanaotumia kutangaza matokeo ya Urasi huku matokeo ya urais Kupitia Mwanza(Nyamagana na Ilemera),Msoma Mjini,Iringa Mjini,Mbeya Mjini,Karagwe,Ubungo,Kawe,Bunda,Tarime,Bukombe,Maswa,Arumeru,Rombo,Arusha mjini,Karatu,Segerea na kwenye majimbo mengineyo yakiachwa kutangazwa?

Plz kama mtu akitoa takwimu hapa jamvini atoe pia takwimu ya Urais na Udiwani ili kuona yanayosemwa na TBC1 kama ni sahihi toka imeanza kutangaza hakuna hata jimbo moja ambalo Dk Slaa anaongoza kura za Urais.

Why???
Source:TBC1
 
CCM si wanapanga matokeo baada ya kuchakachua kura zetu lakini urithi wa jambazi ni laana ya Mwenyezi Mungu ....wabunge wengi wa CCM kutoiona 2015...............watakuwa mdudu amewatafuna...............kwisha kabisa...wengi wao ni spana mkononi..........tusubiri tu.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…