Wakuu mimi mlalahoi nipeni mbinu na fursa nitokee kwenye sadc mkutano.

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
kila nikisikia nasikia fursa kubwakubwa tu.
mfano mimi na kupangisha watu hotelini wapi na wapi.


naombeni fursa za kilalahoi, mishentown, kijasiliamali kidogo, kiuongeajiongeaji au connections ninaweza kupata kupitia mkutano huu.


natarajia kuwa mitaa hiyo wiki ijaya.


umofa kwenuu.....
 
Hutakiwi kuonekana mchafu mchafu mtaani,watu wote kuanzia wazururaji,wamachinga n.k wote wanatakiwa wavae suti ili kuficha umasikini wetu
 
oga piga pass nguo vizuri uhakikishe hazina kunguni alafu nenda mkutanoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…