Wakuu mimi ni mgeni humu ndani naomba ushilikiano wenu

Wakuu mimi ni mgeni humu ndani naomba ushilikiano wenu

Karibu mgeni....

Unapendelea kinywaji gani shekhe?
 
ngoja nimchekie uji wa shurba kama umebakia!!
au togwa??
😀
 
Karibu sana mgeni ila uwe na roho ngumu, humu kuna matusi, kashfa, kejeli na upuuzi mwingi tu. Hasa ukiingia kwenye siasa ndo utakoma. Busara kidogo yaani.
 
Rahim Ramadhan you sound to be decent kid that actually comes from your decision to use your real name tofauti na wengine wengine wanaojiita sijui uso wa Kobe, mbuzi kichaa nk.. karibu sana ustadhi
 
Unakaribishwa, ila tu uwe mvumilivu humu kuna kila aina ya watu.
 
Karibu kijana hii ndio jamiiforums.com zingatia ushauri uliopewa.
 
Back
Top Bottom