Wakuu mnamuonaje Melody Mbassa?

Daaah ni moja kati ya wasanii na vocalist wakali mno nchi hii..sijui ni mkongo eeh???Ngoma sake zote nnazo na nikali kibingwa,,ngoma kama Bebe Extra ni balaa,Ngoma kama Upepo kamshirikisha Papii Kocha ni hatari,,ana uandishi wa akili sana pamoja na melody nzuri..
 
Huyo mtu ni hatari

Hasa ile Upepo aliyoimba na Papii kocha
 
Ni nani huyo? Mbna hata simfahamu lol
 
Yuko vizuri sana mimi naikubali ngoma yake inaitwa niko tayari. Hatari humo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umeamua kuja kujisifia baada ya kuona hatuna time na ww
 
Ndo yule aliimbaga toto party enzi hizo radio one ni mkerewe ila ana udaslam mwingi
Mkuu ndo yule dogo wa toto party? Ama kweli nimezeeka nianze kujiandalia utaratibu kwenda kumalizia maisha kijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…